Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

MUDA SAHIHI WA KUFANYA MAZOEZI KWA AFYA BORA

Afya bora inajengwa kwa mlo mzuri ambao una virutubisho vingi kwaajiri ya kujenga mwili wako kama misuli na tissue

Lakini pia katika kujenga mwili mazoezi ni kitu muhimu sanaaa. Na kuna aina tofauti tofauti za mazoezi lakini kikubwa ni kufanya mazoezi mepesi ambayo hayato kuumiza kama vile kukimbia

Na upi sasa ni wakati sahihi wakufanya mazoezi?.... 

Muda na wakati mzuri wakufanya mazoezi ni ASUBUHI .. kwasababu asubuhi kunakuwa na hewa nzuri ambayo haina uchafu na hivyo ukifanya mazoezi asubuhi itakujenga vizuri mwili wako bila madhara 

kwa nini sio jihoni/ usiku.....

Jihoni/ usiku ni muda ambao anga linakuwa limechafuka na moshi mbaya kutokana na shughuli mbali mbali za duniani kama vile kuchoma moto, moshi wa magari na manbo mengine kwahiyo ukifanya mazoezi muda wa usiku/ jihoni haita kujenga ki afya kwa sababu utakutama na hewa chafu ambayo haifai kwa afya ya binadamu.......

Uploaded files:
  • You need to login to have access to uploads.
error: Content is protected !!