You need to log in to create posts and topics.
AFYA YA INI
#1 · January 7, 2024, 3:09 pm
Quote from Dr Vitamin on January 7, 2024, 3:09 pm1. VITUNGUU SAUMU (GARLIC)
- kwa miaka mingi imeonyesha na watafiti mbali mbali kuwa kitinguu saumu kinauwezo wa kutibu matatizo ya mfumo wa upumuaji, mfumo wa chakula na vimelea mbali mbali katiki mwili na mje ya mwili wa binadamu.
- lakini kwa sasa vitabu mbali mbali kama vile (journal of nutritional biochemistry) vinasema kwamba vitunguu saumu vina sahidia ufanisi wa ini (liver), kwa sababu kitunguu saumu kina madini ya selenium ambayo yanauwezo wa kusafisha ini na pia inauwezo wa kuzalisha enzymes ndani ya ini ambao wanauwezo wakutoa sumu ndani ya ini.
1. VITUNGUU SAUMU (GARLIC)

- You need to login to have access to uploads.
Click for thumbs down.0Click for thumbs up.2
OBK and aimlly have reacted to this post.
OBKaimlly
#3 · January 7, 2024, 8:28 pm
Quote from Dr Vitamin on January 7, 2024, 8:28 pmNdio ina madhara machache kidogo kama ya fuatavyo;
- Harufu mbaya mdomoni ambayo hutokana na kemikali ya allyl methyl sulfide. Harufu mbaya hii, hata hivyo, yaweza kupunguzwa kwa kunywa maziwa, kunywa maji mengi au kutafuna karafuu
- Kwa baadhi ya watumiaji, vinaweza kuwaletea mzio au mcharuko mwili (allergies au inflammatory reactions)
- Huingiliana katika utendaji kazi wake na dawa kadhaa kama vile warfarin, antiplatelets, saquinavir, dawa za shinikizo la damu kwa ujumla hasa calcium channel blockers, na antibiotiki za jamii ya quinolone kama vile ciproflaxacillin.
Ndio ina madhara machache kidogo kama ya fuatavyo;

OBK and dr.vitamins have reacted to this post.
OBKdr.vitamins
contewazza@contewazza
1 Post
#4 · January 8, 2024, 9:09 am
Quote from contewazza on January 8, 2024, 9:09 am
- 1.asante Sana Kwa madini ✍🏿
- 1.asante Sana Kwa madini ✍🏿
Click for thumbs down.0Click for thumbs up.1
OBK has reacted to this post.
OBK