Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

TOFAUTI YA WALI WA RICE COOKER NA WALI WA KAWAIDA

Eti jamani,naomba kujua kama kuna tofauti yoyote kati ya wali wa kupikwa kwenye rice cooker na wali wa kupikwa kawaida ?

Mimi naskia wali wa kupikwa kawaida ni mzuri kuliko wa rice cooker

error: Content is protected !!