Maziwa
Quote from Guest on March 10, 2024, 7:24 amKwanini baadhi ya watu wakinywa maziwa huwa yanawadhuru?
Kwanini baadhi ya watu wakinywa maziwa huwa yanawadhuru?
Quote from OBK on March 16, 2024, 11:22 amHii kwa lugha ya kitaalamu wanaita lactose intolerance,ndani ya maziwa kuna aina ya sukari inayoitwa lactose hivyo kuna baadhi ya watu miili yao inashindwa kumengenya hii sukari hivyo kumpelekea mtu kupata dalili tofauti endapo atakunywa maziwa ,pia tunatakiwa kufahamu kuwa huu sio ugonjwa na upungufu tu wa mwili kushindwa kumengenya hii sukari iliyopo ndani ya haya maziwa
Hii kwa lugha ya kitaalamu wanaita lactose intolerance,ndani ya maziwa kuna aina ya sukari inayoitwa lactose hivyo kuna baadhi ya watu miili yao inashindwa kumengenya hii sukari hivyo kumpelekea mtu kupata dalili tofauti endapo atakunywa maziwa ,pia tunatakiwa kufahamu kuwa huu sio ugonjwa na upungufu tu wa mwili kushindwa kumengenya hii sukari iliyopo ndani ya haya maziwa