Quote from Guest on March 10, 2024, 7:27 am
Tumekuwa tukiamini kuwa ukila asali alafu ukala ndimu hapohapo unaweza ukafariki papohapo, je Kuna ukweli wowote juu ya huu mtazamo?🤔