Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Kwanini tunafunga lakini hatupati Afya nzuri?

Watu wengi wanajiuliza kwanini tunafunga lakin bado hatupati Afya nzuri ,je mafundisho haya ya dini yanakinzana na sayansi au tunakosea wapi ?

Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi wanakula ilhali hawatambui aina pamoja na virutubisho vya chakula wanachokula,kwa mfano mtu anaweza akawa na vyakula vingi mezani lakin kiuhalisia vyakula vile vyote vina aina moja ya virutubisho hivyo kumpelekea mtu kukosa au kutokula mlo kamili.

error: Content is protected !!