Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Did you know 🤔

Did you know

Je ulikua unafahamu kuwa kuendekeza kula maharage ya soya kunaweza kukusababishia kuwa na tabia za kike na kukupelekea kuwa shoga ?

Kitaalamu kuna kitu tunaita antinutrional factors , moja ya hizi antinutrional factors zinazopatikana ndani ya maharage ya soya ni isoflavones. Isoflavones zikiingia kwenye mwili zinaenda kubadilishwa kuwa phytoestrogen . Phytoestrogen ni hormone inayopatikana katika mimea ambayo inafanana na oestrogen hormone kwa binadamu . Katika kiwango cha juu zaidi cha isoflavones kinaweza kusababisha ongezeko la uzalishaji wa hormone oestrogen na kupunguza uzalishaji wa hormone za kiume ziitwazo testosterone, hii ni baada ya uchunguzi ulifanya na mwanasayansi na professor katika ndaki ya teknolojia na sayansi ya chakula aitwaye Melissa Wdowik

Hivyo basi ongezeko la hormone za kike pamoja na upungufu wa hormone za kiume unaweza kukupelekea kuwa na tabia za kike.

error: Content is protected !!