Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

MATUMIZI SAHIHI YA P2

p2 /contraceptive pill 💊 hizi ni dawa ambazo zinatumika kwaajili ya uzazi wa mpango na zinatumika kwa maelekezo mahalumu kutoka kwa daktari

Lakini imekuwa mazoea na utaratibu wa watu wengi ususani wanafunzi wa chuo kutumia dawa hizi za p2 kwaajili ya kujikinga na mimba zisizo zakutajarijia lakini kwa starehe zao bila kufata maelekezo kutoka kwa daktari na bila kujua madhara yake.

Hakuna dawa ya kiwandani ambayo haina madhara (side effects) kwenye mwili wa binadamu na ime repotiwa na waandishi wengi wa afya na kubainisha madhara makubwa sana yapo yakitokana na matumizi mabaya ya p2.

Madhara ambayo unaweza kupata tokana na matumizi mabovu ya p2 ni kama yafuatayo

  • Kubadilika kwa mfumo wa edhi, wanawake wengi wamethibitisha kuwa wakitumia p2 mfumo wao wa edhi kubadilika na hivy kutojua mzunguko wao vizuri na hiyo ni kwasababu p2 zinaaribu mfumo wa homoni zako.
  • Kupata maumivu makari sana kipindi cha edhi, kunakuwa na maumivu makali sanaaa mithiri ya kuungua na moto chini ya kitovu muda wa edhi kwa wanawake
  • Kuaribu kizazi, inasemekana ukitumia p2 vibaya na mala kwa mala kwa muda mrefu inaweza kuaribu kizazi ususana mayai kwenye ovary na hivy kupelekea kutopata mtoto (ugumba).

NB: Ukifanya ngono ambayo sio salama na mwenzi wako jitahid kupata ushauri mzuri kutoka kwa daktari lakini cha mihimu inapaswa kutumia kinga (condom) ili kuepuka mdahra makubwa yatokanayo na matumiza ya p2

Uploaded files:
  • You need to login to have access to uploads.

Je kuna kiwango sahihi cha kutumia p2 au tusitumie kabisa?

Ikitokea nimefanya ngono isiyo salama , nifanye nini jaman ?

Kiwango sahihi chamatumiz ya p2 kinaelekezwa na daktari utakaye kutana naye au atakaye kupa ushauri kuna vidonge vingine unatumia viwili lakini vingine kimoja kutokana na campon unayo tumia.

Lakin ukifanya ngono ambayo sio salama chakwanz unatakiwa kwenda kwa daktari akupime labda kama umepata maambukidhi ya virus vya UKIMWI  utapewa dozi ya masaa 72 na kama utakuwa huna aja ya kupata mtoto kwa wanawake utapewa na dawa za kuzuia mimba kwa utaratibu maalum.

aimlly has reacted to this post.
aimlly
error: Content is protected !!