Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

AFYA YA INI

1. VITUNGUU SAUMU (GARLIC)

  • kwa miaka mingi imeonyesha na watafiti mbali mbali kuwa kitinguu saumu kinauwezo wa kutibu matatizo ya mfumo wa upumuaji, mfumo wa chakula na vimelea mbali mbali katiki mwili na mje ya mwili wa binadamu.
  • lakini kwa sasa vitabu mbali mbali kama vile (journal of nutritional biochemistry) vinasema kwamba vitunguu saumu vina sahidia ufanisi wa ini (liver), kwa sababu kitunguu saumu kina madini ya selenium ambayo yanauwezo wa kusafisha ini na pia inauwezo wa kuzalisha enzymes ndani ya ini ambao wanauwezo wakutoa sumu ndani ya ini.
Uploaded files:
  • You need to login to have access to uploads.
Omari Kitula and aimlly have reacted to this post.
Omari Kitulaaimlly

Je, vitunguu saumu vina side effect zozote?

Omari Kitula and Nangale Abel have reacted to this post.
Omari KitulaNangale Abel

Ndio ina madhara machache kidogo kama ya fuatavyo;

  • Harufu mbaya mdomoni ambayo hutokana na kemikali ya allyl methyl sulfide. Harufu mbaya hii, hata hivyo, yaweza kupunguzwa kwa kunywa maziwa, kunywa maji mengi au kutafuna karafuu
  • Kwa baadhi ya watumiaji, vinaweza kuwaletea mzio au mcharuko mwili (allergies au inflammatory reactions)
  • Huingiliana katika utendaji kazi wake na dawa kadhaa kama vile warfarin, antiplatelets, saquinavir, dawa za shinikizo la damu kwa ujumla hasa calcium channel blockers, na antibiotiki za jamii ya quinolone kama vile ciproflaxacillin.
Omari Kitula and dr.vitamins have reacted to this post.
Omari Kituladr.vitamins
  • 1.asante Sana Kwa madini ✍🏿
Omari Kitula has reacted to this post.
Omari Kitula
error: Content is protected !!