Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Food Science Job Board Guidelines & Introductions

Welcome to the Food Science Jobs Board!

Looking for a job in food science, nutrition, or food technology? Or perhaps you're an employer with an opportunity to share? You're in the right place!

This space is for:

- Job seekers: Post your availability, ask for CV feedback, or browse opportunities.

- Employers: Share job openings, internships, and consultancy gigs.

- Students & graduates: Find internships, entry-level roles, and mentorship.

Posting Guidelines:

- Include clear job details: title, location (or remote), responsibilities, and how to apply.

- Mention deadlines if applicable.

- Be respectful and professional.

- No spam or irrelevant posts.

Let’s connect talent with opportunity and help grow careers in the food industry!

Feel free to introduce yourself below and let the community know what you're looking for or offering.

 

 

 

Karibu kwenye Jukwaa la Ajira za Sayansi ya Chakula!

 

Unatafuta kazi kwenye sayansi ya chakula, lishe au teknolojia ya chakula? Au wewe ni mwajiri unayetaka kutangaza nafasi ya kazi? Upo mahali sahihi!

Jukwaa hili ni kwa ajili ya:

- Watafuta kazi: Tuma taarifa zako, omba msaada wa CV, au angalia nafasi zilizopo.

- Waajiri: Tangaza nafasi za ajira, mafunzo kwa vitendo, au kazi za ushauri.

- Wanafunzi na wahitimu: Tafuta nafasi za mafunzo, kazi za kuanzia, au ushauri wa kitaaluma.

Miongozo ya Kutuma Machapisho:

- Toa maelezo kamili ya kazi: jina la kazi, eneo (au kazi ya mtandaoni), majukumu, na jinsi ya kutuma maombi.

- Taja tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ikiwa ipo.

- Tumia lugha ya heshima na kitaaluma.

- Epuka machapisho yasiyohusiana na mada au matangazo holela.

Tuwezeshe vipaji kupata fursa na kuendeleza taaluma katika sekta ya chakula!

Jitambulishe hapa chini na eleza unachotafuta au unachotoa.

error: Content is protected !!