Quote from dr.vitamins on May 6, 2024, 8:36 amNi ile hali ambayo mtu anaipitia akiwa amelala na kujihisi kama amekabwa na jinamizi na hivyo ananishindwa kufanya chochote kile kwa muda huo ( kusogeza mkono, mguu na wala kuongea).
Sas iyo ni hali ya kibiologia zaidi na sio ki shirikina kuwa mwili kuna jinsi unaweza kupitia ukiwa umelala.
Ni ile hali ambayo mtu anaipitia akiwa amelala na kujihisi kama amekabwa na jinamizi na hivyo ananishindwa kufanya chochote kile kwa muda huo ( kusogeza mkono, mguu na wala kuongea).
Sas iyo ni hali ya kibiologia zaidi na sio ki shirikina kuwa mwili kuna jinsi unaweza kupitia ukiwa umelala.