Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Vyakula 10 vya kula ukiwa hujaingiza chochote tumboni

Vyakula vya kula ukiwa tumboni hujaingiza chakula chochote:

  1. Ndizi
  2. Papai
  3. Mayai
  4. Matunda ya aina ya berries
  5. Asali
  6. Maji ya uvuguvugu
  7. Juisi ya karoti
  8. Juisi ya beetroot
  9. Maji ya nazi
  10. Chai ya kijani
error: Content is protected !!